Mwenye hisa nyingi ndo boss inabid uelewe.Stop acting as if unauelewa mkubwa wakati unaonesha jinsi gani ulikimbia shule.Then mfano wako wa Chelsea nahisi hata huelew ulichoandika unaleta mambo ambayo hayana uhusiano na hii issue ya kuvunja mkataba.

Ngozoma matunda
Amir ally bamchawi
Priva mtema
Jimmy David ngonya
Abas tarimba
George castro mpondela
Tabu mangara
Jabir ally shikamkono
Hawa wazee waliziweka penye ramani timu zetu.