Kuna siku nilitoka na mwana baada ya mizungugo akataka tukajaze nguvu. Aliagiza nami nikaagiza changu ila changu bei zaidi ya chake. Mwana akatoa macho nikaongeza na supu ya kuku nikamuona mwamba kama kapanic nikacheka moyoni. Niliagiza juice 2 kila moja bei yake 4,500 zile juice unatengezewa hapohapo. Mwana nikamuona hayupo happy tena hata Maongezi kakata kabisa. Alikuja waitress na receipt nikachukuwa nikalipia. Mwana alibaki kushangaa tu na uso wake hapo ukaanza kuonesha furaha. Mimi sipendi kulipiwa kula nalipia mwenyewe mara nyingi kuna marafiki wana simbulia sana baada ya kukupa ofa yao.Ukiamua kukaa na mimi mahali asee nisipangiwe cha kutumia. Uzuri mimi huwa nabeba muamala wangu incase hauko poa nalipa..na pia huwa nakuuliza kama uko njema au uko vibaya nimalize shoo...
Ubarikiwe sana kwa kuniita tajiri,ipo siku ntakuwa tajiri kweli.
Kitambaa Cheupe was a fine place sio hio kanda ya ufukweni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sina vanguard yoyote
Nshamiliki ki rav4 cha 2008 nkampa dingi.
Kutanua ni maamuzi tu... hela unatafuta halafu huzitumii uje ufe wazigombanie.
Nikiwa na ishu muhimu natumia bolt
Ndo nataka njichange ntafute ki ist kirahisishe mishe.
Ndiyo
Angalia na hali ya uchumi unavyoelekea kwani unajua wote tunafanya kazi kampuni ya maersk sealand
I can control myself ila kuna mahal hata mm nasema leo nguruwe njoo mkuki upo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok! Mzee Hennessy! Naona Ballantine hainogi skuizi🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kaka angu ww sio mtu mdogo ujue
Upo vizuri daddieNaam usiogope mwandiko dad yako amenyooka kama ruler
Soma post #360 mwananguUpo vizuri daddie
Huyo najua pa kumnyoosha mache tuAh jamani pole Baba
yatakwisha tu
Vizuri sana ni 359Soma post #360 mwanangu
haha sawaHuyo najua pa kumnyoosha mache tu
PoaaaHey Mambo
Ok! Mzee Hennessy! Naona Ballantine hainogi skuizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ok! Mzee Hennessy! Naona Ballantine hainogi skuizi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Now! We are talk negro! Karibu huna hasara wewe🤣🤣🤣Tamu ni flying fish pekee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] izo ukinipa sita niko poa