Mchomamoto
Senior Member
- Aug 19, 2011
- 169
- 36
Have a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.
Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!
I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
mayb ni woga kwel coz i luv him xo much.alaf imetokea sudenly ckuwah kuona dalil yoyote ya kuchokwa[/QUOTE]Presha inapanda kwa sababu ya kuogopa ukweli kuwa hakuhitaji.Hebu jikague,kwa nini unaogopa?Kwa sababu presha kupanda ni matokeo ya woga!
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
Sasa mtoto wa vikindu aandike my chocolate,nawakati hata ladha ya bazoka haijui,hiyo cholate ameionjea wapi?Hii kasheshe
badilisha jina andika my Chocolate hehehe atachanganyikiwa akijua umejua
Hapo hakuna mapenzi
Usitake kujipigia pasi hapa wanaume wote tupo hivyo,tena na ndio tunazidi kuwa hivyo ili wakome kutuletea maringo,and they should know that they are more than number!!!Sio wanaume wote wana tabia kama huyu wa kwako
you is not performing to his satisfaction. if you still need him then you should pull up your socks, work hard madam!espacially when you don't live together, man is no wood eeh!!!!!!!!!Jaman mim niko in a relationship na mtu flan hv,ambaye mara nying huwa hatupo pamoja (long distance relationship)sasa jana nimesafir kuja kwake bahat mbaya sa hz nilikuwa natafuta cmu yngu ciion nikaamua nijibep kwa kutumia cmu yake ili nijue nilipoiweka mda huo yeye alikuwa ametoka anajiandaa kwenda kazin, jamani ckuamin nilichokiona eth nimekuta nimeseviwa jina la rafik yake, et jaman wat is the meaning of tht?nipo dilema yan presha inapanda na kushuka hapa
Najaribu kufikiria sipati jibu; huyo mwanaume ni mwanaume wa aina gani.
Navyojua ukifikia kuseviwa jina la hajabu ni kwamba wewe tayari ni spare, na kuna anayeogopa kumuumiza na si wewe.
Sasa nimeshangaa unavyosema anakubembeleza umsamehe; umsamehe ili iweje na kuna anayempenda zaidi yako?
Plausible explanation ni kuwa:
Inawezekana wewe uko vizuri kikazi au kipesa, ndio maana anakuganda na si kwa sababu anakupenda; yuko kimaslahi. Wanaume wa hivyo wanazidi kuongezeka siku hizi. Ndio maana mabinti wenye pesa sana hawaolewi kwani wanaume wanawatumia na wao wanakuja lijua hilo.
Na kama ni kweli huko fresh basi usishangae hata anafikia kukuoa pamoja na yote haya kwani anahitaji mshiko wako, ila hataacha kukuchiti.
Kama hayo ya juu si sahihi basi ni just a player na anapenda kumiliki wanawake zaidi ya mmoja na hayuko tayari kukupoteza kirahisi.
Mimi nadhani japo ni ngumu kufanya maamuzi magumu, lakini ukiyafanya haraka yanaweza kukupa chance ya kuwa huru na kuangalia ustaharabu mwingine.
Boooooooooooonge la wazo nyumba kubwa ila wadada wanaojitambua hapo mia mia na hawezi kukuelewa kama ikimtokea kitu kama ya huyu alieta hii thread......
.........WHENEVER YOU DO ANYTHING REMEMBER YOUR AIM.........
Unajua watu wengi sana wake kwa waume wanafanya mistake ya kupoteza muda na watu wasiowapenda; na wengine wengi tu wanafikia mpaka kuolewa au kuoa watu ambao si right kwao. There is someone for everyone; tusilazimishe mapenzi.
Leo hii ni relationship tu mtu anakukana afu unataka kumsamehe; akikuoa si ndio hao wanaoficha pete zao za harusi.
Mimi sijisifu kuwa nina mume mwaminifu kwani nitakuwa nausemea moyo; ila nina uhakika I am the number one even after 8 years of marriage. Kama kuna wengine basi watakuwa wanaifuata kwa mbaaali hawanifikia hata nusu. Lol.
Kuna siku nilienda na mume wangu kutafuta barua ya serikali za mitaa ili ku update particulars za Bank. Wakasema wanahitaji picha; nkamwambia mume wangu mi sina, inabidi nikapige. Akasema uwa natembea na picha zako kwenye wallet yangu. Nilijisikia fahari sana. Sasa kama ningekuwa nimeolewa na mtu ambaye kwenye simu ananisave Chakubimbi kabla ya ndoa, leo hii angetembea na picha zangu (na wanae) kwenye wallet?
Sitaki kumkatisha tamaa mtoa mada ila wengi wanaolialia kwenye ndoa dalili huwa wanaziona kabla hawajaolewa wanazipotezea. Chapa lapa kuna anayeshathili kuwa na wewe atakaye kuona malkia.