Hahahah dah!!
Ushauri toka kwa ODM...... Zingatia alichokuambia King'asti hap juu.
Mungu akuhurumie na akuongoze katika njia zako!
Amen!!
eth ananiambia alikuwa anataka anitest reaction yangu itakuwa vp thts wy akafanya hvyo
Khaaaa! Amina sista MariaKlara wa Shirika la moyo Mtakatifu wa Yesu. Msalimie sista AnithaYosefumstari wa moyo.........."ikumbuke ahadi uliyomwambia mtumishi wako ya kwamba umemtumanisha na hii ndiyo faraja siku ya taabu yake ya kwamba ahadi yako imemuhuisha."
amen
Khaaaa! Amina sista MariaKlara wa Shirika la moyo Mtakatifu wa Yesu. Msalimie sista AnithaYosefu
Nakupendaje?
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
yap ila leo nilichokonoa kwa bahat mbaya najuta.Kumbe sio mara yako ya kwanza kuchokonoa simu yake sio?
yap ila leo nilichokonoa kwa bahat mbaya najuta.
-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
eth ananiambia alikuwa anataka anitest reaction yangu itakuwa vp thts wy akafanya hvyo
bora uwe peke yako wallah...ni upuuziHave a face to face chat with him.
Usiongee chochote kuhusu simu, lkn ongea kuhusu mustakabari wa maisha yenu. Muulize kama he sees you as a couple say in two years. Kama ana mtu mwingine n.k! Usiwe na ghadhabu, kutokana na reaction yake utajua tu.
Uwezekano mkubwa ana mtu ambaye anamchanganya na huenda ndio chaguo lake. Au anampressure kwa kumkagua simu n the like!
I hate it mtu anapokuwa na watu zaidi ya mmoja akisikilizia wapi kutatick!
Hiyo mwanzoni ni lini?-yey huwa ananivisit kila apatapo likizo mm huwa na mvisit after 2month mara nyngi
-tulipanga wote kwamba niende,mahusiano yetu ni mwaka wa 3 sasa,and mwanzon alinisav na romantic name
ma dearest jua kabisa kama ni distance relationship nijibu maswali haya b4 sijaanza kukanseli
-how often do you go or visits you?
- mnamahusiano ya muda gani?
-mmewah kudefine terms and conditions za future yenu?
-mwanzoni alikuwa amekusave kwa jina gani?
-alikuomba ukamtembelee au ulimsuprise? jibu maswali haya kisha nitarudi tena
eheee! pole mwaya......chezea wanaume wewe
ni kama miez miwil sasa imepita sinc last tym nimeshka simu yakeHiyo mwanzoni ni lini?