papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,343 Reaction score 2,013 Aug 15, 2026 #1 Au bhasiii! Attachments FB_IMG_1786789831149.jpg 66.4 KB · Views: 15
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,550 Reaction score 104,476 Aug 16, 2026 #2 Wakizitaka waje na uthibitisho kwamba wamefikisha umri wa miaka 90/tisaini.
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 46,914 Reaction score 58,390 Aug 16, 2026 #3 Itakuwa nssf hao.
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,908 Aug 18, 2026 #4 Hatari sana... Cc: Mahondaw
Tate Mkuu JF-Expert Member Joined Jan 24, 2019 Posts 46,250 Reaction score 137,681 Aug 20, 2026 #5 .......Wakizitaka tutawawekea figisu za kutosha! Tutaondoa fao la kujitoa, tutatengeneza sheria ya kuwapatia 33% pekee ya mafao yao watakapostaafu, na pia tutawazungusha hata mwaka mzima ndipo watapewa hayo mafao yao kiduchu.
.......Wakizitaka tutawawekea figisu za kutosha! Tutaondoa fao la kujitoa, tutatengeneza sheria ya kuwapatia 33% pekee ya mafao yao watakapostaafu, na pia tutawazungusha hata mwaka mzima ndipo watapewa hayo mafao yao kiduchu.