Mliosoma Makoko Seminari mpo?

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
280
Ndugu mliosoma Makoko Seminari (St. Pius X Seminary) ya Musoma naomba tukumbushane machache kuhusu shule yetu pendwa. Enzi za Brother Brendan ( alikuwa akiwaambia Form II wawafundishe Form I kuogelea ziwani), Fr.Msilanga, Enzi za Fr. Chiza (alikuwa akimwabia aliyekuwa amefanya kosa amfuate kwenda ofisini kwake kisha mwanafunzi anatokomea badala ya kumfuata na alikuwa akitumia mkanda kuwachapa wanafunzi), Enzi za Fr.Bilingi (Mzee wa PAI na FIC).

Enzi hizo Makoko Seminari ilikuwa inafanya vizuri kitaaluma lakini katika miaka ya hivi karibuni Makoko Haisikiki kulikoni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…