MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,796
- 71,965
Mimi nimesema he's creepy.khaaaa kwaio mkuu unahisi wewe ndio mzima yeye ndio mwenye shida?
Now the KUGONGA LIKE without talking freaks me out.Subiri aje akugongee LIKE.
How?Jinsia gani wewe kama hutajali?Now the KUGONGA LIKE without talking freaks me out.
Mkuu wewe ni jinsia gani ?How?Jinsia gani wewe kama hutajali?
Aisee siku nimeamka nakuta notifications kibao kucheki nakuta LIKE za ndugu yangu Mkwepu Jr.Na hapa atakuja muda wake agonge like na kuishia!
Mimi najuaga ni robot, wala siumizagi kichwa!
Hahahaha, mkuu kuna siku niliamka nakuta zimegongwa LIKE kibao, kesho yake tena hivyohivyo, kesho kutwa yake hivyohivyo. Sasa ikabidi niangalie vizuri huyu jamaa ni nani, nakuta katambaza LIKE kurasa nzima.Yeye anabonyeza kitufe cha like tu ila wewe unaangalia details za comments zaidi ya buku mbili huku unajiona mzima [emoji38]
Hahaha kumbe hata wewe umemuona mkuu.
Zinaweza zikawa hata mia za kwake tuu! Mwanzo nilikuwa naogopa ila saivi nishazoeaAisee siku nimeamka nakuta notifications kibao kucheki nakuta LIKE za ndugu yangu Mkwepu Jr.
Iaseee mpwa jamaa yangu huyu anagonga like halafu yuko kimya tu,.....Mimi nampendaga [emoji847][emoji847][emoji847]
Kuna siku nilichangia mmada kibao, kila mada nikakuta LIKE za Mkwepu Jr,Zinaweza zikawa hata mia za kwake tuu! Mwanzo nilikuwa naogopa ila saivi nishazoea