Vijana lazima waamini kuwa bodaboda haziwezi kubadilisha maisha yao-kutoka kwenye dhiki kwenda kwenye faraja! Ukombozi pekee ni kwenye shughuli za uzalishaji-kilimo, viwanda vidogo vidogo nk. Mtaji mkubwa ni elimu na uthubutu. Huu udanganyifu wa kwamba bodaboda zitawasaidia, ni uongo!!!