kuna mabadiliko kwenye budget cycle. Iliopendekezwa na CAG mwaka jana kuwa haifai kupitisha bajeti kuu kwanza kabla ya individual notes. Pia alipendekeza bajeti ipitishwe kabla ya mwaka mpya wa fedha kuanza.Sijui kuna nini ila halmashauri nyingi zimetakiwa kuwasilisha bajeti zao wizara ya fedha nadhani mapema kuliko walivyotarajia. Si tatizo la Arusha pekee
Wana Wa Nchi
Muda wa kuongozwa na watu wenye fikra mfu na akili mbovu umepitwa na wakati, sasa ni muda wa kufanya mambo kwa umakini na waledi, Tutasimama imara kupigania kweli na haki, kamwe hatujarudi nyuma,
Wana wa Arusha, sheria inawaruhusu wanachi wote kuingia kwenye Vikao Vya Bunge na Vikao vya Halmashauri, kwa mantiki hiyo Wanachi wa Arusha jikokezeni kwa wingi kwenda kusikiliza Kikao Cha Bajeti Ya Jiji la Arusha kesho Ijumaa, mimi binafsi nitakuwepo,
"We fear nothing, justice is our culture, Victory is the way of life, and Dignity is core principal of life"
Kamanda Magoma Jr Magoma
M/Kiti Mstaafu Chadema Arusha Mjini.
kuna mabadiliko kwenye budget cycle. Iliopendekezwa na CAG mwaka jana kuwa haifai kupitisha bajeti kuu kwanza kabla ya individual notes. Pia alipendekeza bajeti ipitishwe kabla ya mwaka mpya wa fedha kuanza.
Serikali imeyafanyia kazi mapendekezo hayo lakini tatizo ni kuwa imeanza utekelezaji kable suala hlo halijapelekwa bubgeni kufanyiwa marekebisho kisheria kama inavyotakiwa