Julius Husseni JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 1,435 Reaction score 1,195 Nov 10, 2016 #1 Nauliza IV Kuna batch zingne au Ndo wamemaliza a location?
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,201 Reaction score 15,234 Nov 10, 2016 #2 Julius Husseni said: Nauliza IV Kuna batch zingne au Ndo wamemaliza a location? Click to expand... Rekebisha hapo kwenye nyekundu. Kidizaini fulani naona kama hakuna batch zingine ukiacha majina waliyotuma vyuoni,cha msingi we appeal kama unaona una sifa za kupata Mkopo na usubirie matokeo ya Kuappeal mwakani Mwezi Januari.
Julius Husseni said: Nauliza IV Kuna batch zingne au Ndo wamemaliza a location? Click to expand... Rekebisha hapo kwenye nyekundu. Kidizaini fulani naona kama hakuna batch zingine ukiacha majina waliyotuma vyuoni,cha msingi we appeal kama unaona una sifa za kupata Mkopo na usubirie matokeo ya Kuappeal mwakani Mwezi Januari.
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,200 Reaction score 6,396 Nov 10, 2016 #3 kama alivyosema hapo juu mkuu,kuwa now ni kuappeal tu kama unahisi una vigezo.coz kam kungekuw na other batches appeal ingekuwa bado haijaruhusiwa.
kama alivyosema hapo juu mkuu,kuwa now ni kuappeal tu kama unahisi una vigezo.coz kam kungekuw na other batches appeal ingekuwa bado haijaruhusiwa.
Julius Husseni JF-Expert Member Joined Sep 9, 2016 Posts 1,435 Reaction score 1,195 Nov 10, 2016 Thread starter #4 Duh II kali aisee