Wadau naomba mnijuze. Je, bodi ya mikopo inakopesha anayejiunga chuo kwa sifa ya equivallent? Mfano mwenye diploma ya education kwenda bachelor degree ya ed.
Acha uboya wakati ww upo pspf ,nssf,gspf ,lapf,mifuko yote hiyo inatoa mikopo ya elimu kwa waajiriwa sasa kwa nini ubanane na sisi huku bodi ya mkopo wakati una means tayari