Nahitaji mkopo wa haraka wa milioni moja au laki 5, kulingana na uwezo wa mtoaji... utarejeshwa ndani ya mwezi mmoja na nasu ( kiasi nilichokopeshwa pamoja na riba yake) anaeweza kutoa anipm ila awe Arusha maana nipo Arusha... hata mbali na Arusha pia kama tutaelewana..