Ubakaji. Lakini sheria za usalama binafsi zinakataza kutumia glass uwapo ktk mikusanyiko. Pia zinakataza kuendelea na kinywaji baada ya kukiacha kwa muda kwa kwenda mahali. Inashauriwa uagize kingine na kile ukipotezee.KWA WALE WANAWAKE AKA MABINTI MNAOOOMBWA NANINII HUKU MNAENDELEA KUNYWA VYA WATU MUWE MAKINI SANA
KUMEZUKA STYLE YA KUWEKEANA KIASI KIDOGO CHA MKOJO KWENYE KINYWAJI UNACHOKUNYWA AMA VALIUM ILIOPONDWA
KAMA UNAKUNYWA VYA WATU NA UMEAMUA UNA MPANGO WA KUTOA AKIKISHA VINYWAJI UNAVYOKUNYWA VIKOSALAMA
NIMEONA JANAA MDAADA MMOJA SINZA WAKICHEKA SANA NA MAJAMAA WAWILI AIKUCHUKUA MDA YULE MDADA AKAANZA SINZIA JAMAA WAKAMSHIKA HUKU NA KULE AINGIE KWENYE GARI BAHATI MLINZI ALISHASOMA MCHEZO AKAWAULIZA MNAMPELEKA WAPI OOH HOSPT MANAGER AKAOMBA MLINZI MMOJA AENDE NAO NA JAMAA MMOJA WAKAGOMA YULE DADA ALIKUWA HOI WAPENDWA CHALIIII
MSHIKAJI WAPIL AKAENDA AKAWASHA GARI AKAJA WALIPOJAZANA WATU MWENZIE AKAINGIA WAKAKIMBIA..HIO NDIO PONA YA YULE MDADA
HAPO NDIPO JIRAN WA ILE MEZA AKASIMULIA YULE DOGI ALIEVAA NYEKUNDU TSHIRT ALIKUWA CHOON NA GLASS ANAIKOJOLEA HATA YEYE AKASHTUKA ASIELEWE MKOJO ANAPELEKA WAPI
HAPO NDIPO MNAPOLIWA VIPUSA MADADA ZANGU NA NYIE WANAUME WAPENDA BURE VYA DEZO VALIUM INAWASUBIRI MUWEMAKINI SANAA
Mkojo + kilevi = dawa za kulevyaSjaelewa, mkojo ukichanganywa na pombe inakuwa Valium ama????
MPWAAA MAPAMBANOO KWA MANYWELEE WANAAKUULIZIA SANA MPWAAUmearibu mzeeee... Mengine uwe Mwanaume na kifua, unatoa siri za kambi wanatuibia sana hao viumbe.
Unamnunulia vitu mwisho wa siku anaenda kmtunuku mwingine kwa gia ya kutoroka nakuja ndo inatok.
Binafsi mkojo na ugolo kwangu havijawah niangusha[emoji848][emoji848][emoji848].
Mpwa m kumpaa kisoda lazima alambe HATA tatuYaan ukimdondoshea ujazo wa kizibo cha soda tu kwenye glass yenye kilevi kama alikuwa amekunywa bia moja atahisi kama amepiga saba. Sasa ukimkuta amepga kama tano ukafanya huo unyama that's means lazima alale chali
Hamna kitu kama hicho. Mkojo+mkojo hauwezi kutoa hicho kitu. Hizo ni story tu za vijiweni. Usidanganywe na hizo hadithiMkojo + kilevi = dawa za kulevya
Valium inasimamaa peke yake
Bazazi
Utamlisha tu mkojo wako huyo jamaa yako,lakini haiwezi kutokea hicho kitu alichoongea hapo. Hizo ni story za vijiweniYAANI SIKUWA NAJUA HII.MIXER KUNAWANAUME WAKO SINZA WANAPENDA VYA BURE SANA NA NTAANZA KUTEMBEA NA MIKOJO WAKIOMBA BIA NAWAPA WAKIENDA MSALAN LAKWAO
Na wewe kwa bold na capitals hizo kwamba tusingekuelewa au
Kumbe😀Pdidy kaja kivingine