Mkisha chokana Ndani ya nyumba!!

kwanini ndoa nyingi zinakuwa hivi siku hizi? jawabu ni kuwa watu wengi wamemsahau mungu na kuacha mawazo yao yatawale nyumba zao. maranatha wana jf wote.
 
Sasa hapo jaribu ku transpass into the 'boobsland' ndo utaona cha mtemakuni!.
 
Hiyo tisa kumi ni huyu jamaa aliyemchoka mkewe...

Hahahahahaha njemba inapiga mahesabu ya kuruka uzio na kisha kuziondoa WMD ili angalau akutane na nyeti hata kama ni kuziangalia tu LOL!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…