Mke

Hehehe we naeee, mi nishaoleka nimemsaidia tu naona tangazo lake liko cold sana
Uzuri naye keshaoa mnakutana mambo bien achana Na Yule aliekuoa kitambo kumbuka mla ni mla Leo mla Jana kala nini? Ngekewa hiyo toto la Kike
 
Akuu, aende huko alikomalizia ujana wake
ujana nini? Uzee ndipo mtu anatumbua majipu ya mafanikio. Hongera dada na mungu akubariki na chombo kipya. Mrejesho muhimu pamoja na picha ya harusi
 
Heheee kwa uzee huo duh APA tunataka k2 chamotoooo
 
Wee ni mkurya? Eti nahitaji mke! Jioe mwenyewe kama hujui kubembeleza!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…