Mke wangu kaniambia wana ndoa sio lazima waishi pamoja, kahamia Dar lakini sijui anaishi wapi!

Bora mwanaume akuambie sikuoi anaweza kugeuza mawazo
Ila mwanamke akikwambia hataki ndoa na wewe ukalazimisha utanyooka.

Pole mkuu upo sehemu isiyo sahihi kwako

Hao ni wale wanawake tukikaa kwenye vikao vyetu huongelea mabaya ya waume zao mpaka siyo poa
 
Hapo hakuna Ndoa mkuu
 
Bro hadi hapo unafaida gani sasa kwenye dunia hii? watu kama wewe ulitakiwa ufe mara moja. Mkeo kakwambia hataki kuishi nawewe manake ana mwanaume mwingine bado umo tu. wanaume kama wewe hufai hata hata kuacha mbegu duniani ndio maana anatoa mimba zako
 
Umeoa JINI!

Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
 
Nikijuju ntabwenge afite
 
Sio kama hanitaki, ila anataka tukae mbalimbali
 
Kabisa mkuu
 
Mapenzi yanauma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…