Mke wa kuoa anahitajika

B love

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2022
Posts
244
Reaction score
580
Asiwe mfupi, asiwe mnene asiwe mweusi.

Awe tayari kuishi maisha ya Kiislam (kusoma dini na kufanya ibada ni lazima) na awe tayari kuishi maisha yeyote pasi na kwenda kinyume na mafundisho ya dini.

Kuhusu Muoaji: Ni mrefu mweusi, MUISLAM. Elimu 4m 4, umri 28.

Maelezo zaidi Njoo Dm au mtafute muhusika Moja kwa moja kwa Whatsup number 0767322131.

NB: Mi si muhisika. Muoaji ni kijana tu muhangaikaji si muajiriwa wala mtu mwenye pesa.
 
Wanawake wa kiislam wanaojua dinii na kutafuta ndoa wapo wengi sana mitaani. Mabinti wa kiislam wengi wana uelewa sana na wapo tayari kuanza na mumewe maisha ya chini kuliko dini zingine

Binafsi naona ni kazi sana kwa mkristo kupata mke kuliko muislam.

Waislam by 20 mwanamke yupo tayari kwa ndoa. Ila wakristo by 20 mwanamke hayupo tayari kwa ndoa na hata ukipeleka posa kwao wazazi wake wanaikataa na kukushangaa why utake kumuoa mtoto wao wakati bado mdogo
 
Wakiristo wengi wanajiendeleza sana kielimu tofauti na hao wengine
 
Fact

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
I mean nyie mnaolewa mkiwa wadogo mno...whike sisi umri huo tuko A level
Hata hivyo Ndoa sio kizuizi cha kusoma. Ni watu tu wana complicate kwa sababu wanazozijua wao. Hivyo wapo Waislam wanaooa na kuolewa wakiwa na huo umri unaosema ni mdogo na kama wanataka kusoma wanasoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…