Roger Sterling JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 13,010 Reaction score 23,653 Nov 20, 2015 #21 Evelyn Salt said: Maneno yako yanatakiwa yaambatane na kaushuhuda mpendwa, kwamba ulishaopoa mbebs mwema humu.... Ubarikiwe Click to expand... Si ndio HS sasa. Mbona ipo wazi kitambo Mpendwa.
Evelyn Salt said: Maneno yako yanatakiwa yaambatane na kaushuhuda mpendwa, kwamba ulishaopoa mbebs mwema humu.... Ubarikiwe Click to expand... Si ndio HS sasa. Mbona ipo wazi kitambo Mpendwa.
mtzedi JF-Expert Member Joined Dec 13, 2011 Posts 6,140 Reaction score 6,356 Nov 20, 2015 #22 Mkaruka said: Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu. Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke. Click to expand... Mkuu Mkaruka mke mwema ni neno pana sana, ukipata mwenye vigezo uvipendavyo huyo ndie Mke Mwema Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mkaruka said: Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu. Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke. Click to expand... Mkuu Mkaruka mke mwema ni neno pana sana, ukipata mwenye vigezo uvipendavyo huyo ndie Mke Mwema
M mwakibolo Senior Member Joined Jul 29, 2015 Posts 163 Reaction score 47 Nov 20, 2015 #23 kona bar, ambiance, maisha club, kwa kimboka.....ongeza na sehem zingne
Aigoo JF-Expert Member Joined Feb 27, 2015 Posts 3,124 Reaction score 2,819 Nov 20, 2015 #24 Mkaruka said: Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu. Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke. Click to expand... Mke mwema anatoka kwa mungu haya maneno si mepesi kama unavyofikilia
Mkaruka said: Naomba kusaidiwa kwa hili limekuwa gumu kwangu. Nimehudhuria semina nyingi za masuala ya urafiki, uchumba na ndoa lakini nimeshndwa kujua ni maeneo yapi ambayo ni sahihi kumpata mke. Click to expand... Mke mwema anatoka kwa mungu haya maneno si mepesi kama unavyofikilia
luckyline JF-Expert Member Joined Aug 29, 2014 Posts 15,153 Reaction score 21,788 Nov 20, 2015 #25 Anapatikana ukawa.
Mkami Lum JF-Expert Member Joined Feb 23, 2013 Posts 414 Reaction score 96 Nov 20, 2015 #26 Msubiri atakuja mwenyewe....