Mke mfia dini

Bitcoinbase

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2016
Posts
319
Reaction score
285
Daaaaahh Jamani hivi hawa mabinti wanajiita walokole wanaelewa kweli mafundisho au wanakalili,,,
Nina mchumba wangu mmoja Lakini kazama kwenye dini hadi anashindwa kubalance muda wakufanya Kazi, Kuwa mama ndani y'a nyumba kiasi CHA kukera ,,, akili yake ni kanisani Mara mbili Hata Kwa kutwa !!!
Mmhh ukweli katulia Ila kutobalance muda ili Tupange tuongee pia mambo y'a maendeleo Mm nakwazika kiasi chakutaka kuachia ngazi !!!
Hebu waliowahi pitia Haya maswaibu tupeane techniques mlisove vip ???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kanisani anaenda mara mbili kutwa?
Kuna kitu huko, fanya uchunguzi

Sent from my SM using Tapatalk
 
kaa chini ongea na mkewako bro..inawezekana na wewe kuna tabia zako hazipendi na anawahadithia mashosti zake...kwa namna hiyo hamtaweza kujenga kaeni chini mzungumze!!
 
Kwa walokole hilo ni sawa. Yani ma pasta au manabii wameguza wake za watu watumwa . Mwanamke anaeza kuja hata na nguo za pasta akazifua na kupiga pasi ila yako hajawahi igusa . Wanawatumia wanawake mana ni wepesi kushikwa kiimani.
 
kaa chini ongea na mkewako bro..inawezekana na wewe kuna tabia zako hazipendi na anawahadithia mashosti zake...kwa namna hiyo hamtaweza kujenga kaeni chini mzungumze!!
Si mke bado bali eti ni mchumba, naona hobi zao ziko tofauti, anatakiwa ampate mlokole mwenziwe!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pastor akija home ananawishwa maji ya vuguvugu na anapigiwa goti

Mume anapewa na mkono wa kushoto au anaambiwa kachukue chakula
 
Hilo ni janga linakunyemelea,stuka mkuu...
 
Wanawake wa hivyo wanakuwa nusu machizi sijui wanalishwaga nini uko


Hapo ukimuoa mkuu ndio utaisoma no vizuri
 
umepotea njia hapo zinduka rudi kwny njia yako sasa kabla siku zenye kujutia sana hazijakufika
 

Kanisa gani linaswaliwa kutwa mara moja or mbili? Nnavyojua ni siku moja tu ambayo ni SUNDAY. ebu fanya karesearch kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…