Mkuu unaoa degree au mke,
Vigezo vingine huwa vya kijinga sana,
Halafu baadae mkitibuana mnabaki kutafuta wanawakewasiokuwa na degree ukidhani hao hawana matatizo nao unakutana nao walewale,
Tafuta mwanamke utakayewezakuish nae kwa aman na upendo ndo maana ndoa za siku hizi hazidu kumbe vigezo DEGREE