si sample tuu ya sifa...sijapenda kujaza hapa..Wewe unasifa 5 yeye ziwe 7 duh
shukhuranAll the best
29year mbona mkongweMkuu mbona umeukwaa mapema ivo...29y?
una ushauri gani mkubwa??? funguka hapa, au jikite kwenye madaUmeanza dose?
asante pokea mibaraka teleUpate kadri ya hitaji lako
Unaweza ukawa na miaka 20 tu ukagongwa na gari kisha ukafa, Kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha mkuu, kikubwa ni kuzingatia tu masharti, Nilizaliwa na virusi vya UKIMWI miaka 25 iliyopita na mpaka sasa maisha yanasonga, Mtoa mada Mungu akupe hitaji lakoMkuu mbona umeukwaa mapema ivo...29y?
neno jema hakuna mwenye kujua kesho yake.Nashukuru.Unaweza ukawa na miaka 20 tu ukagongwa na gari kisha ukafa, Kuwa na virusi vya UKIMWI sio mwisho wa maisha mkuu, kikubwa ni kuzingatia tu masharti, Nilizaliwa na virusi vya UKIMWI miaka 25 iliyopita na mpaka sasa maisha yanasonga, Mtoa mada Mungu akupe hitaji lako
Ndiyo si anaolewa?Awe hata na 19.Wewe unasifa 5 yeye ziwe 7 duh
sawa....Ndiyo si anaolewa?Awe hata na 19.
upo sawa, naimani katika hilo, nawe Mungu akuzidishie mema katika harakati zako hapa duniani AMEN...Kila la kheri mkuu na Mungu akupe chaguo lako muishi vizuri!
Wengine wanazaliwa wakiwa na maambukizi tayari, usihukumu!Mkuu mbona umeukwaa mapema ivo...29y?
upo sahihi,, ni miongoni mwa majibu,,, katika hili kuna majibu zaidi ya 20 tufauti na fikra zake..Wengine wanazaliwa wakiwa na maambukizi tayari, usihukumu!