Wapo lakini wamepungua sana, tofauti ya wanawake wa Zamani na sasa ni kuwa wanawake wengi wa Zamani waliona fahari kuolewa na wengi walikuwa hawajishughulishi sana na ajira hivyo mme ndiyo ilikuwa kila kitu Hali hii ilisaidia sana kuwafanya kina mama kuwa waminifu na watii, hata sasa Kuna baadhi ya nchi kama China na maeneo ya nchi za kiarabu kwa kuwa mifumo Yao siyo ya Haki Sawa kama kwetu wanawake wa kule bado Wana tabia na utiii kama wa kwetu wa Zamani, hivyo inanyesha madhara ya mwanamke kumpa uhuru afanye awezavyo hili halipingiki