Mimi ni kijana,mwenye umri wa miaka 32, mtanashati,muelewa,mwajiriwa wa serikali,.Natafuta mwenza wa kike ambaye atakuwa mke wangu,awe at least diploma level and above,awe mweupe kiasi!! mwenye shape ya nzuri ya kibantu,mwenye hofu ya mungu,mwisho awe na tabia nzuri,aliye serious tu anipm!!!
Kwa sifa hizo ulizotaja hawajakuona tu huko kwenu?
unachukua mkopo lini??? umeajiriwa lini? nijibu kwanza hapa!"!!
Kwa sifa hizo ulizotaja hawajakuona tu huko kwenu?