I see kuna binti yuko jirani na dukani kwangu huyu binti anajielewa sana. Kwanza muda unamkuta yuko busy,yuko serious na anachokifanya. Ana heshima kupitiliza,mpaka mabaharia wanaogopa kumtokea. Hata kumtokea tu hutapata hata muda wa kumwaga sera zako. Mpaka moyoni huwa namuombea huyu ni wa kupata mume muelewa. Huyu ni wife material kabisa. Ni mweupe,si mrefu sana. Ana kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8 kama sio 8 kabisa. Ana chura ya kutosha. Ni mzuri wa sura. Anajitambua sana
Sent using Jamii Forums mobile app

wewe ni ME au KE ?mabaharia wanaogopa kumtokea
kifigure fulani cha kichokozi kinachoelekea namba 8
Kwani ww ni msabato bibie?Wasabato wamefanya nn ? hii ni post ya pili naona msabato hatakiwi .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko vizuri huyu binti. Mpaka sisi mabaharia tunamuangalia kwa mbali tu. Maana unaweza kumtokea akakutolea nje mchana kweupe,halafu ukaanza kuona aibu hata kuwepo tu mitaa hiyo. Hasa kulingana na heshima anayotoa huyu binti
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Mabaharia...! Ahahaaaa...! Usije ukagongea puli mkuu. Aaah...! Kiukweli kabinti kako vizuri sana. Heshima na jinsi kanavyojituma kazi zake. Kanajitambua sanawewe ni ME au KE ?
nime'dinda' kidogo hapa nilivyotengeneza picha
tuma picha yake PM[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Mabaharia...! Ahahaaaa...! Usije ukagongea puli mkuu. Aaah...! Kiukweli kabinti kako vizuri sana. Heshima na jinsi kanavyojituma kazi zake. Kanajitambua sana
Sent using Jamii Forums mobile app