MK Dons 4-0 Man Utd

Ahadi Mushi

Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
9
Reaction score
1
Hivi mnahitaji World class Players ili kuifunga timu kama MK DONS... Watu Wa Man Utd hebu tuambieni timu yenu inakosea wapi.
===================

Chanzo: IBTImes
 
Daah mi hata sielewi nini kimeikuta hii team yangu ya man UtD, kama jana tumefungwa goli 4-0 na kateam ka daraja la 2 sasa tunaweza kuwafunga CHELSEA, MAN CITY NA wengine kweli daah
Van Gal badilisha Mfumo bhana.
 
Tatizo ni mfumo 3-5-2 so mfumo mzuri kwa uingereza ila van gaal mbishi.
 
Tatizo ni mfumo 3-5-2 so mfumo mzuri kwa uingereza ila van gaal mbishi.
Mfumo ni mzuri, sema tu timu haijawapata watu wa kaz, kuwa na viungo kama akina fletcher unategemea nn hapo!!
 
Daah mi hata sielewi nini kimeikuta hii team yangu ya man UtD, kama jana tumefungwa goli 4-0 na kateam ka daraja la 2 sasa tunaweza kuwafunga CHELSEA, MAN CITY NA wengine kweli daah
Van Gal badilisha Mfumo bhana.
Huyu jamaa yupo kweli jamii forum?
Man United is now officially history.
 
Rojo na maria itabidi waanze kuchezeshwa wiki hii
 
Chezeni na liverpool,chelsea na man city KABISA.!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…