Akilitime JF-Expert Member Joined Dec 27, 2017 Posts 581 Reaction score 763 Nov 16, 2018 #1 Wa salaam, Kwa wakaazi wa Dar es salaam , pamoja na wafanyabishara wa nguo za mitumba, ni wapi naweza pata nguo za jumla kwa Dar esalam Asante.
Wa salaam, Kwa wakaazi wa Dar es salaam , pamoja na wafanyabishara wa nguo za mitumba, ni wapi naweza pata nguo za jumla kwa Dar esalam Asante.
baby nillaah Senior Member Joined Apr 7, 2017 Posts 110 Reaction score 64 Nov 17, 2018 #2 Mnazi mmoja au ilala boma sokoni
Hornet JF-Expert Member Joined Apr 29, 2013 Posts 26,892 Reaction score 52,488 Nov 17, 2018 #3 Unamaanisha ballo? Nenda mnazi mmoja