Missing your partener

nkungwe123

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2014
Posts
444
Reaction score
95
Hbr ya kuamka wana MMU wenzangu?
Siku yangu imeanza vema, hofu ni kwenu nyinyi.
Tuwaombee heri wagonjwa ili warudi ktk siha zao za kawaida na warejee ktk utebdaji wao wa kila siku.
Tuwafariji waliopondeka moyo ili nao wapate faraja na kuendeleza juhudi zao za kulijenga taifa.
Basi bana, Mimi mpenzi wangu akienda safari ni lazima aniachie blauzi yake moja ambayo aliivaa na hajaifua. Harufu ya jasho lake ninapomkumbuka ni faraja tosha. Nikiinusa tuu nahisi km tupo wote tena!!!!
vipi Wewe mwana MMU mwenzangu, ukimkumbuka mpenzio na yuko mbali unafanyaje kujifariji zaidi ya kumpigia simu name kuongea naye????
Nawatakia siku njema ya kazi.
 
Unapenda jasho aaaagrrrr
Harufu ya jasho faraja tosha wewe noma
 
Unapenda jasho aaaagrrrr
Harufu ya jasho faraja tosha wewe noma

Ichana Wewe una mpenzi? Mmewahi kuwa mbalimbali kwa muda mrefu? Unajifariji vipi ukiwa umemkumbuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…