MISS MAGOGONI 2017

TAPSSODAR

Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
5
Reaction score
4

Haya sasa hatimaye ile Siku ya kumtafuta miss Magogoni 2017/18 inakaribia kama picha inavyo elezea hapo juu ni tarehe 9 ya mwezi wa nne mahali ni pale pale wanapokutana wajanja wa mjini @maisha_basement Dar @maishaclubtz wasanii watakao Fanya usiku wako kua na furaha ni @youngdaresalama [HASHTAG]#pakarapa[/HASHTAG] baada ya kupata furaha utapata [HASHTAG]#arosto[/HASHTAG] kutoka kwa @chinbees pia @dullamakabila atakuuliza kama [HASHTAG]#umeulamba[/HASHTAG].pia special appearance by @rossendauka
Tiketi zinapatikana
@yahayabotique na @dsmtapsso chuoni no:66 Unaanzaje kukosa kwa mfano.
 
Magogoni ni mtaa fulani hivi kigamboni kule sasa wao ndio wanamtafuta miss wa mtaa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…