Mishahara ya Serikali hupanda kwa asilimia ngapi?

Inategemea, wakisema Mshahara utapanda kwa Kati ya asilimia 10 hadi 50,maana yake ni kwamba yule mwenye scale ya juu ataongezwa asilimia na yule mwenye scale ya chini kanisa ataongezwa asilimia 50 ili asimzidi sana mwenye scale ndogo. Mnaweza kujazia kwenye mapungufu, karibuni.
 

Sawa mkuu
 
Huenda ukweli ukawa ni huu,japokua naomba Mungu isemwe ni kati ya 10% hadi 100%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…