Voltaire JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 1,964 Reaction score 2,192 May 2, 2014 #1 Hello guys,tafadhali kwa anayejua mshahara wa credit officers kwenye hii taasisi ya mikopo ya EFC....imekuwa ni kawaida kwa taasisi za namna hii kulipa kidogo sana ukilinganisha na kazi unayofanya.
Hello guys,tafadhali kwa anayejua mshahara wa credit officers kwenye hii taasisi ya mikopo ya EFC....imekuwa ni kawaida kwa taasisi za namna hii kulipa kidogo sana ukilinganisha na kazi unayofanya.
BURUDIKA Member Joined Dec 30, 2013 Posts 91 Reaction score 8 May 3, 2014 #2 Umeitwa kwenye interview mdau?
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 3, 2014 #3 ni 500000/- wanakupa..
BURUDIKA Member Joined Dec 30, 2013 Posts 91 Reaction score 8 May 3, 2014 #4 Nawasalimu ktk jina la Bwana wanajamvi, samahani naomba mnijuze hawa jamaa kama wameshaita watu kwenye usaili. Asanteni.
Nawasalimu ktk jina la Bwana wanajamvi, samahani naomba mnijuze hawa jamaa kama wameshaita watu kwenye usaili. Asanteni.
ndetichia Platinum Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,769 Reaction score 6,590 May 3, 2014 #5 angalia post ya efc kuna mtu kaitwa..