Kitu kimoja muhimu wafanyakazi wanatakiwa waelewe ni kuwa, kama serikali ikiongeza mapato kwa namna yoyote ile basi itaweza kuongeza mshahara. Lakini kama mapato yanadidimia kiasi inashindwa hats kuhudumia bajeti za wizara muhimu kabisa hats kwa 50% tu, basi tuelewe hali in mbaya!! Hawataweza kamwe kuongeza...
Sasa kama hiyo miradi mikubwa ambayo ndio tulikuwa tunaambiwa pesa zinaenda huko na yenyewe inakwama, jua hali in mbaya zaidi!!
Kwa kifupi, kama wanaweza kuendelea kulipa mishahara kwa viwango hivi hivi mpaka sasa, tushukuru!! Tutamlaumu bure baba Wa watu , ila hawezi kuongeza.. Pesa hiyo haipo!!
Acheni kuwaza vitu vitavyowaumiza, ukakaa roho juu ukingoja upande.. Brother, utaumia buree
Huu ndio ukweli mchungu!!