Misemo ya uswahilini kwetu

oduko

Senior Member
Joined
Dec 16, 2012
Posts
169
Reaction score
56
MISEMO YA USWAHILINI KWETU
HUKU....
Lakini tambua yakuwa.......
1.hata uwe shabiki wa Diamond
kias gani huwezi kukubali kuwa na
Domo kama Lake...
2. Ushuzi ndio Gesi original ya
Mtwara mbwembwe tuuh
3.Hata uwe msela kiasi gani Busha
uwezi kulivalia Modo..
4.iwe umekaririshwa ama
umeelewa hata ukasome
international school huwezi kuota
ndoto kwa kiingereza...
5. Utaosha vyombo vyoote lakini
sio vya Habari...
6.zipu inameno lakini haipigi
Mswaki...
7.Ugali hata ue wamoto vipi
huwezi washia sigala...
8.lakini kaa ukijua mkono wa
mwenzio huwezi jikunia ----.....
9.Mwanamke nyonyo Makalio hata
mwanaume anayo....
10.......
 
10. hata uwe mjanja kiasi gani na mtaani wanakukubali, Ukijenga nyumba kwenye kiwanja cha mwanamke we ni ---- uliyepitiliza
 
Hiyo misemo hapa ndo kiboko hata ukisema kukutungia kwangu ni kama freestyle kwa nnachokiona mbele yangu!!
Mf.: amini usimani bodaboda haina tiketi!
Pia kubali ukatae bajaj haina aircondition,
hata gari lina sofa lakin sio za mbao na razer

hata uwe mfupi vipi lkn hatuwez kukuona mrefu kwa kuvaa viatu virefu
Hata kama ungekuwa mfalme ktk nchi ya vipofu lkn ukija kwa tunaoona hata baskel hatukupi!

zote mpya
and all rights reseverd !!!!
Ntaendeleea baada ya mda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…