Boss nimeipenda hiyok haiuzwi wala haitolewi bure....lol
Boss nimeipenda hiyo
boss angalia basi avatarha haa ha kwani we jinsia ipi?lol
sasa kama haiuzi wala haitolewi bure option zipi za kuzipata?
boss angalia basi avatar
poa kabisa,mbona huniambii umeona nininimeona aisee...mambo yapo huko lol
ni vitendo tu na siyo kuangalia sinema
kipendacho roho hula nyama mbichi,lolkusoma hujui,hata picha huoni?lol
hakuna ugumba kwa umpendayeumetisha Sayari..........'''penzi tamu haiwezi kukustaafisha''
kipendacho roho hula nyama mbichi,lol