Check bob mara zote anatumia, hazalish.
Lkn tuzingatie pia sera za kimataifa zinavoinfluence maendleo ya nchi zetu maskini. Km wa West walivopinga Reli, ndo yanaendlea. Badala ya kuweka mikakati aka MIKUKUTA na mifumo endelevu ya kiuchumi na huduma za jamii..tunasambaza consumerboz-vyandarua, vyakula vya misada na kondom. Hawa jamaa hawasapoti kuwekeza ktk viwanda wala mifumo ya kuuondoa umaskin. Km unauelewa MKUKUTA-MKUZA unanipata.
Km umezoea mipasho, maneno machaf na siasa za Sintofahamu... C u kwny topic km "Zuma na JK unawafananishaje"? Hahaha!