Mini Sumsang Laptop (Yenye webcab) Inauzwa

J Mbungi

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
269
Reaction score
74
Ina webcam, processor/Ram 2GB, ina hard disk 350GB. Nimeitumia miezi 4 Tu.

Bei ni Sh/350,000/= Ipo Dar Es Salaam

Mwenye Kuhitaji, ni INBOX sasa hivi
 
mkuuuu ungeweka namba ya simu ingekuwa rahisi zaidi ila na picha pia
Ina webcam, processor/Ram 2GB, ina hard disk 350GB.. Nimeitumia miezi4Tu! Mwenye Kuhitaji...Ni INBOX sasa hivi!!
 
Nashukuru kwa ushauri..Ila nafurahi kuwajulisha wapendwa kuwa imeishatoka...Hivyo nashukuru "ushirikiano wa wana JF wote" Mungu awabariki..!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…