M Madesa Member Joined Nov 30, 2011 Posts 17 Reaction score 30 Jul 17, 2015 #1 Gari ipo katika hali nzuri,haidaiwi chochote, cc650 AC Imetembea Km 181000 bei 4.8Mil serious buyer call 0714792727/0782345695 Server haiko poa saiz ukihitaji just whatsapp ntakutumia picha
Gari ipo katika hali nzuri,haidaiwi chochote, cc650 AC Imetembea Km 181000 bei 4.8Mil serious buyer call 0714792727/0782345695 Server haiko poa saiz ukihitaji just whatsapp ntakutumia picha
BRO SANTANA JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 1,845 Reaction score 2,249 Jul 17, 2015 #2 Weka picha wewe. Whatsap wengine hawana.
Hute JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 6,537 Reaction score 6,482 Jul 17, 2015 #3 BRO SANTANA said: Weka picha wewe. Whatsap wengine hawana. Click to expand... weka picha, au ndio zile za zamaniiii, zile ngumuu, vipi spare zake zinapatikana?
BRO SANTANA said: Weka picha wewe. Whatsap wengine hawana. Click to expand... weka picha, au ndio zile za zamaniiii, zile ngumuu, vipi spare zake zinapatikana?
K kali ya leo Member Joined Jun 25, 2015 Posts 76 Reaction score 19 Jul 22, 2015 #4 Weka picha kjana....au huuzi unatutania
M Madesa Member Joined Nov 30, 2011 Posts 17 Reaction score 30 Jul 28, 2015 Thread starter #5 Sorry wakuu picha zinakataa kuupload ila unaweza kuziona kupitia Pajero mini for sale | Dar es Salaam | Kupatana. Asanteni
Sorry wakuu picha zinakataa kuupload ila unaweza kuziona kupitia Pajero mini for sale | Dar es Salaam | Kupatana. Asanteni
hekimatele JF-Expert Member Joined May 31, 2011 Posts 9,889 Reaction score 2,805 Jul 28, 2015 #6 kali ya leo said: Weka picha kjana....au huuzi unatutania Click to expand... Hilo ni tatizo sana la wauzaji wengi wa vitu hapa JF. Hawaweki picha. Nadhani mods watusaidie kwenye hili. Kama tangazo halina picha wawe wanafuta. Kwisha
kali ya leo said: Weka picha kjana....au huuzi unatutania Click to expand... Hilo ni tatizo sana la wauzaji wengi wa vitu hapa JF. Hawaweki picha. Nadhani mods watusaidie kwenye hili. Kama tangazo halina picha wawe wanafuta. Kwisha
M Madesa Member Joined Nov 30, 2011 Posts 17 Reaction score 30 Aug 5, 2015 Thread starter #7 Sold, dont bother to call