Mimi ni kama na Messi, Tangu kuzaliwa kwangu nimekuwa na mahusiano na msichana mmoja tu!

muafi

JF-Expert Member
Oct 6, 2015
2,119
4,813
Tangu nimezaliwa mpaka nimefikia hapa, sijawai kutembea na mwanamke yoyote mbali na mke wangu wa sasa,

Nimekutana nae tangu shuleni yeye akiwa form two mimi form four enzi hizo bado tupo watoto,

Nimekua nae mpaka nimemaliza chuo mpaka sasa niko kazini na yeye ndiye mke wangu kipenzi

Sijawai kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti na yeye tangu kuzaliwa kwangu

Na bado nampenda sana mke wangu

Yaani mimi mambo ya ex-girlfriend siyajuagi kabisa

Yote yanawezekana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…