1. Kutanguliza FISADI papa kupambana na UFISADI
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]
2. Kuuza vyama vinne katika mnada mmoja na kutegemea Pesa za mabepari kufanya Kampeni
[URL=https://www.jamiiforums.com/usertag.php?do=list&action=hash&hash=Huo]#Huo NdioUpumbavu.[/URL]
3. Kupanda daladala ili upate kick ya kisiasa
#Huo NdioUpumbavu
4 Kupambana na mfumo wa CCM kwa kutumia viongozi waliolelewa na mfumo wa CCM
#Huo NdioUpumbavu
5. Kusahau kashfa na uchafu wote wa Lowassa ndani ya usiku mmoja.
#Huo NdioUpumbavu
6. Kuwataka Watanzania wenye ushahidi juu ya Lowasa waende mahakamani na kusahau kuwa walitutangazia wana ushahidi na kumtaka Lowassa kama anaonewa aende mahakamani.
#Huo NdioUpumbavu
7. Kutengeneza CCM B ya wezi waliofukuzwa CCM halisi na kuiita Upinzani
#Huo NdioUpumbavu