Salaam.
Kama title inavyo onyesha juu hapo naitaji msaada wakutambua jinsi yakutumia JF, kuna baadh yavitu vinanishinda kama vifwaatavyo.
1-Kuweka picha profile
2-Kulply chat yamtu mwingne
3-Kutaka kuanzsha mada.
Ndugu mwanajf naitaji maelekezo iri nam niweze kujumuika nakujurishana mambo tofaut tofaut hapa.
Natabguriza shukran zangu kwenu.