Milipuko huko kigamboni

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,451
Reaction score
4,654
Naona moto mkali na sauti kama milio ya baruti huko maeneo ya kigamboni whats going on guyz. isije ikawa kama siku zileee
 
Alshabab au ndo wenye viwanja vyao wanavichukua hahahaha
 
Naona moto mkali na sauti kama milio ya baruti huko maeneo ya kigamboni whats going on guyz. isije ikawa kama siku zileee
niko hk goba nasikia hy misauti nimetoka nje najaribu kuchungulia hata nimekuwa nawsws bhana
 
Wanafuzi wa IFM labda wameamua kujilinda kwa nguvu zote
 
Siku izi bongo kama somalia tu, watu wanarupua wana iba wanakaba wakiondoka tu Difender ya mapolisi CCM hiyo wanakuja kuzuga na kufahamu wamechukua kiasi gani.
 
Siyo Kigamboni ni hapa maeneo ya Namanga wanalipua baruti ila sijajua ni kwa sababu gani.
 
Duh baruti na mshndo wote huo c nyumba za watu ctakuwa chali?
 
Inawezakana ni sikukuu za wahindi. maana hawa wanaweza klipua baruti zao bila kuwataarifu wananchi
 
Naona moto mkali na sauti kama milio ya baruti huko maeneo ya kigamboni whats going on guyz. isije ikawa kama siku zileee

It's America's fault. Wamekuja kuchukua ardhi yao mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…