Miliki biashara na mimi

Kilemakyaaro

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
5,050
Reaction score
5,119
Nahitaji watu wanaojituma na wenye uwezo wa kufanya biashara kama kuuza matunda, mbogamboga, kusafisha viatu, kuuza kahawa n.k.

Unapewa mtaji usiozidi laki 5 na utatakiwa kutoa gawio kila siku kulingana na makubaliano na mzunguko wa biashara.
 
Kwaiyo unaniajiri au unanipa mtaji nikafanye kazi alafu nikupe gawio nabado marejesho bado utakua una hitaji nirejeshe
 
Mimi nnatoa mtaji na facility zote za biashara husika, nnatafuta eneo pia wewe kazi yako ni kusimama na kupambana kuulinda mtaji, kwenda sokoni kutafuta mali, kuuza then unakua unanilipa sehem ya faida, hapo itategemea na mzunguko wa biashara na faida, tutakubaliana Mf. Mimi kila siku utanipa elfu 10 kinachobaki chako
Makubaliano gan boss! Yaweke bayana hapa
 
Tunatafuta eneo ambalo ni suitable kwa biashara husika, mtaji na all business facility nnatoa we pambana faida ikija ntakupa lengo tu labda daily nnatala buku tano, the rest faida ni yako, manake ukiwa na bidii utapata zaidi
Hizo biashara unazo tayar au utanipa mtaji ndo nifanyee??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…