Gwakukaja85
Member
- Dec 21, 2012
- 17
- 12
Itakuwa vizuri chadema mkija kuanzia huku kwa sababu ccm bado inakubalika na hasa mwenyekiti;hebu ona hapa;Jamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya mnyambe,kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata ya mnyambe kutaka gesi ibaki mtwara i like it!
Nawasihi CHADEMA kama watawashwa moto wa M4C awamu pili uanzie huku cause "nyasi zimekauka zinahitaji kiberiti",mahudhurio ya leo yamenipa taswira kuwa 2015 shughuli laini kabisa kwa Chadema huku kusini
Jamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya mnyambe,kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata ya mnyambe kutaka gesi ibaki mtwara i like it!
Nawasihi CHADEMA kama watawashwa moto wa M4C awamu pili uanzie huku cause "nyasi zimekauka zinahitaji kiberiti",mahudhurio ya leo yamenipa taswira kuwa 2015 shughuli laini kabisa kwa Chadema huku kusini
hakuna sehemu ambayo hawa jama watapata shida kama Mtwara katika uchaguzi ujao hoja ya Prof. imewamaliza kabisa ni bora angenyamaza kabisa kuliko kauli aliyo itoa kuwa gesi si yaoJamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM Mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya Mnyambe,Kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata ya Mnyambe kutaka gesi ibaki Mtwara i like it!.
Nawasihi CHADEMA kama watawashwa moto wa M4C awamu pili uanzie huku cause "nyasi zimekauka zinahitaji kiberiti",mahudhurio ya leo yamenipa taswira kuwa 2015 shughuli laini kabisa kwa CHADEMA huku kusini.
unadhani wanamshangaa kwa nini?Ila hapa mkutano huu upo KITAIFA zaidi, ndiyo maana unaiona BENDERA ya TAIFA na ya RAIS. Hivyo hapo watu wa vyama vyote na wasio washabiki wa chama chochote wamekuja kumshangaa JK (V. Dagama).
sasa kwani aliesema huu sio mkutano wa rais ambaye pia ni mwenyekiti wa ccm ni nani?mchezo wenu wa uchakachuzi hamuachi? hapo si ni igunga juzi kati vasco alikuwa anahutubia? angalia bendera ya raisi pale mbele.
Jamani wadau hiki ndiyo kifo cha CCM Mtwara kulikokuwa kunaaminika ndiyo ngome ya chama hicho kikongwe,nimefanikiwa kuhudhuria mikutano iliyofanyika kata ya Mnyambe,Kitangari chini ya makamu m/kiti UWT Taifa watu ni kidogo wote wazee halafu hoja ni CHADEMA,ila nimefurahishwa na risala ya kata ya Mnyambe kutaka gesi ibaki Mtwara i like it!.
Nawasihi CHADEMA kama watawashwa moto wa M4C awamu pili uanzie huku cause "nyasi zimekauka zinahitaji kiberiti",mahudhurio ya leo yamenipa taswira kuwa 2015 shughuli laini kabisa kwa CHADEMA huku kusini.
Uko anakuja Lema 'uoga ndio dhambi kubwa kuliko zote duniani'Pale Mnyambe mbali ya kuisema Chadema hoja kuu ilikuwa ni Adam Sijaona aka Sijali ambae alivua gamba rasmi 1/06/2012 na kukabidhiwa kadi ya Chadema na Dr.Slaa. aliitwa kibaraka,msaliti na pale ilibainika kwamba Ccm ndio wakabila na wa-kanda.