Wakuu naombeni mnijuze juu ya mikopo ya huyu mama,Leo Star TV walirusha kipindi cha marudio ya siku ya wanawake duniani na kuna mama mmoja alisema eti ma Salma anatoa mikopo ya laki mbili riba yake ikiwa ni elfu hamsini?je apo kuna mkopo kweli