Hello unakaribishwa Enterprise finance limited(EFL), kwa huduma ya mikopo ya haraka na masharti nafuu.Tupo Dar es salaam na Arusha. kwa mawasiliano zaidi piga simu no.0763882788 au 0656862682. Email info@efl.co.tz. kwa maelezo zaidi tembelea tovuti yetu www.efl.co.tz karibu sana.
Hawa jamaa kuwaita matapeli inaweza isiwe sahihi sana; wana ofisi, wana leseni, na wanaendesha biashara yao vizuri tu kwa maana hiyo,lakini matangazo yao huwa ni tofauti na kile ambacho utakutana nacho ukiwafikia ofisini kwao!