Luge son Member Joined Jun 16, 2016 Posts 24 Reaction score 18 Nov 1, 2018 #1 Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
Habari za kazi ndugu zangu. Mimi hapa ni muhitimu wa chuo nimekuja kwenu kuulizia ni taasisi gani ya kibenk inayotoa Mkopo wa bajaji au gari aina ya carry(kirikuu) kwa kuwa ndio biashara ambazo nina uzoefu nazo katika kuzifanya.
K kinyama nje JF-Expert Member Joined Jul 3, 2017 Posts 1,839 Reaction score 2,487 Nov 1, 2018 #2 namimi nataka mkopo kwa kutumia hati ya nyuma na sio mambo tin wala nini
Tronics guru JF-Expert Member Joined May 19, 2016 Posts 10,372 Reaction score 7,983 Nov 1, 2018 #3 Wakikwambia niambie na Mimi kijana mwezio
Jini Kisiranii JF-Expert Member Joined Feb 20, 2018 Posts 2,021 Reaction score 2,455 Nov 1, 2018 #4 Nenda CRDB, ama NMB