M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 16, 2015 #1 Habari, Hivi kuna mtu yeyote mwenye taarifa juu ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea? Na kuna chuo chochote waliopata mkopo? Mwenye taarifa atujuze wanajamii.
Habari, Hivi kuna mtu yeyote mwenye taarifa juu ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea? Na kuna chuo chochote waliopata mkopo? Mwenye taarifa atujuze wanajamii.
Yetu Sote Member Joined Jan 23, 2013 Posts 54 Reaction score 9 Dec 18, 2015 #2 Daaah!eti kuna bilioni 131.
3 3024 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 45 Reaction score 4 Dec 18, 2015 #3 Jana yaliletwa majina kadhaa ya continuing tulioomba mkopo tuka sign na kuandika account namba zetu pamoja na registration number zetu, ila hakukua na allocation in percentage wala in amount. Nipo udom college ya informatics
Jana yaliletwa majina kadhaa ya continuing tulioomba mkopo tuka sign na kuandika account namba zetu pamoja na registration number zetu, ila hakukua na allocation in percentage wala in amount. Nipo udom college ya informatics
M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 18, 2015 Thread starter #4 da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa
3 3024 Member Joined Oct 18, 2012 Posts 45 Reaction score 4 Dec 19, 2015 #5 MDOE jr said: da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa Click to expand... Ndio ni priority MUNGU mkubwa jana usiku yalikuja majina in percentage nimepata 92%. Msikate tamaa MUNGU atawasaidia
MDOE jr said: da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa Click to expand... Ndio ni priority MUNGU mkubwa jana usiku yalikuja majina in percentage nimepata 92%. Msikate tamaa MUNGU atawasaidia
M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 19, 2015 Thread starter #6 inshallah.....ngoja tuvute subra
M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 19, 2015 Thread starter #7 3024 said: Ndio ni priority MUNGU mkubwa jana usiku yalikuja majina in percentage nimepata 92%. Msikate tamaa MUNGU atawasaidia Click to expand... hongera ndugu
3024 said: Ndio ni priority MUNGU mkubwa jana usiku yalikuja majina in percentage nimepata 92%. Msikate tamaa MUNGU atawasaidia Click to expand... hongera ndugu
xumaly Member Joined Jul 26, 2014 Posts 80 Reaction score 62 Dec 19, 2015 #8 dah... wana tupo must couz priority but chenga tu...
M MDOE jr Member Joined Nov 21, 2015 Posts 28 Reaction score 0 Dec 19, 2015 Thread starter #9 halafu cjui kuna ucri gan huko bod.....hata celewi
P phoncy Member Joined Dec 5, 2015 Posts 36 Reaction score 8 Dec 19, 2015 #10 Et kuna njia nyingine ya kupata mkopo tofauti na loan boad yan ukaeleweka kabsa ukasoma vzur?