Habari wakuu.
Nimekuwa nikipata tatizo siku za hivi karibuni(ambalo limekuwa ni geni kwangu).
Nikiinstall MS Office,napata message hii :"Microsoft Setup Bootstrapper has stopped working". Wakati mwingine naformat zaidi ya mara moja,na nafanikiwa kuinstall office. Mwanzoni sijawahi kuwa nalo. Nabadilisha OS installers,lakini hamna. Ambacho bado sijafanya ni kubadili memories au HDD.
Maelezo ya mtandaoni kuhusu solution hayajawahi kuzaa matunda. Kwa anayefahamu hii issue naomba anijuze chanzo huwa ni nini?