Jinsi ya kufanya biashara mtandaoni ukiwa nyumbani kwako.
Saivi dunia ipo kiganjani unaweza kufanya chochote unachotaka.
Epuka kufanya mambo yasiokuwa ya msingi kwa kutumia muda wako mwingi ukiangalia tu picha mtandaoni.
Leo nitakupa michongo miwili ya kufanya biashara mtandaoni.
Kuna maduka makubwa mtandaoni yanakusaidia wewe kuuza biashara yako na baada ya kuuza utawapa asilimia chache.
Tumia EBAY na AMAZON,uza chochote ulichonacho kupitia mitandao hii,
Kila app ina utaratibu wake wa kujisajili kuwa muuzaji kwenye duka lao,
Watakachokifanya hapo ni kukusaidia wewe kuwaonyesha wateja bidhaa zako. Mfano umeandika AFRICAN FASHION kila atakayetafuta jina hilo lazma bidhaa zako zionekane.
VIGEZO:
*Uwe na account ya bank.
*uwe na account ya paypal
Nk........
Nitakuwa nmekupa mwanga,jaribu na wewe ili ujiingizie kipato leo haraka na raisi.