MOMPRENEUR
Senior Member
- Jun 18, 2016
- 193
- 127
Unastawi mkuuMkuu, Mzeituni unaweza kustawi na kuzaa Kibaha, Pwani?
Asante kwa hili. Baada ya kununua miche kutoka kwenu kuna huduma aya elimu juu ya upandaji na uangalizi au ukiniuzia basi!? Nieleze kidogo juuya strawberry. Inastawi Pwani ya Rufiji na nahitaji miche mingapi kwa EKARI moja?*ryzer agro products*
*ni wazalishaji wa miche aina zote za matunda,maua pamoja na miti ya mbao na urembo...*
Karibu sana kwetu ujipatie miche ya matunda ya muda mfupi.Tuna miche ifuatayo:-
Nazi miaka mitatu tsh.7000
Zaituni miaka miwili tsh.5000
Ndizi miezi 7 tsh.3500
Fenesi,korosho miaka miwili tsh.3000
Pia tuna *miembe*michungwa*,pera,parachichi,limao,ndimu,chenza,mbilimbi,*topetope,stafeli,cocoa( huzaa ndani ya miaka miwili) kwa tsh.2500
*Strawberry* mwezi mmoja kwa tsh.2500
Tunapatikana Sua morogoro na tunatuma popote Tanzania.Malipo ni baada ya kupokea mzigo wako.
Ukihitaji tuwasiliane namba *0653405342*.
*Nyote mnakaribishwa*View attachment 1210450View attachment 1210451View attachment 1210452View attachment 1210453View attachment 1210454
Mzeituni unastawi maeneo yenye sifa gani?Unastawi mkuu
Huduma ya elimu utapewa.Kwa pwani labda uwe na greenhouse tofauti na hapo itakusumbua.Asante kwa hili. Baada ya kununua miche kutoka kwenu kuna huduma aya elimu juu ya upandaji na uangalizi au ukiniuzia basi!? Nieleze kidogo juuya strawberry. Inastawi Pwani ya Rufiji na nahitaji miche mingapi kwa EKARI moja?
Ni economical kulima strawberry kwenye greenhouse yenye ukubwa gani?Huduma ya elimu utapewa.Kwa pwani labda uwe na greenhouse tofauti na hapo itakusumbua.
Sawa nitakutafuta very soon.Unastawi mkuu
Hapo kwenye Miembe, michungwa, pera, parachichi, limao, chenza, topetope stafeli nitakutafuta fasta.*ryzer agro products*