cute wife sio mzuri, amejaa tamaa na kiburi/
Akiongea mvua ya mate, lazima utumie mwamvuli/
Maneno magumu yasiyo na busara, mwili ameugeuza biashara/
Sio muoga hajui kuoga, ukimlipa popote analala/
kifuani ndala, maarufu ambiance, sewa bar kimboka na ilala/
Kwenye pesa hana masihara, anaingiza nyingi kuliko wenye mshahara/
Mfupi kama mwala, hana tako alafu anajiita kajala/
Ukimtongoza hakatai, anasaula hata chupi havai/
Madeni mengi kwake hakai, barabarani kujimwambafai/
Nimemsema sana na kumkejeli, kigamboni mzungu kamtapeli/
hakatai mtu, uwe kwa miguu gari boda hata baiskeli/
Amini nawaambia ukweli, kila anachofanya amefeli/
Aliishi kwa tabu hana viatu, wala kandambili/
Jina halisi anaitwa pili, kwangu ameshakiri, natoboa hii siri/
Sisemi hana akili, msipagawe na huo mwili/
Uwezo mdogo wa kufikiri, single maza ana watoto wawili/
Lazima tukae tumjadili, watatu yupo njiani natabiri/
Haujui uzazi wa mpango, anafanya bila kiwango/
Tumsaidie mchango, arudi kwao tumkatie bus shekilango/
Kwao mbali huko kijijini, hana ndugu hapa mjini/
Ameharibu sana uswahilini, wasije mfunga kiroba mumuokote baharini/
Namsaidia wala simfitini, kwa pamoja tuwe makini/
Tumsaidie kupambana na life, nilipomshauri zaidi cute wife akanipiga knife/
Chorus: Maua Sama
........β¦..............................................................
Thanks kwa walioanzisha hii thread nimemchana Cute Wife, roho yangu imeridhika. Baada ya hapa nazika uadui na tofauti zetu rasmi. Sina tena hasira nae, [emoji120]
Hiyo picha unayozungumzia ilikua ya mfano tu wala haikia picha inayohusu mtu wangu yoyote.Kweli umenielewa mpk umeamua kunitungia mistari, sema nini wewe unawashwa sana na mimi huwezi kutulia labda ufe wakuzike!
Kingine wewe mgonjwa wa akili km uliweka mpododo wa mama baya uliotoka kumshave sembuse hayo maneno yako ya kwenye khanga nakuona punguani tu!
Hiyo picha unayozungumzia ilikua ya mfano tu wala haikia picha inayohusu mtu wangu yoyote.
Hata hivyo nimemaliza beef, amani ikae juu. Ahsante[emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] bonge la diss trackcute wife sio mzuri, amejaa tamaa na kiburi/
Akiongea mvua ya mate, lazima utumie mwamvuli/
Maneno magumu yasiyo na busara, mwili ameugeuza biashara/
Sio muoga hajui kuoga, ukimlipa popote analala/
kifuani ndala, maarufu ambiance, sewa bar kimboka na ilala/
Kwenye pesa hana masihara, anaingiza nyingi kuliko wenye mshahara/
Mfupi kama mwala, hana tako alafu anajiita kajala/
Ukimtongoza hakatai, anasaula hata chupi havai/
Madeni mengi kwake hakai, barabarani kujimwambafai/
Nimemsema sana na kumkejeli, kigamboni mzungu kamtapeli/
hakatai mtu, uwe kwa miguu gari boda hata baiskeli/
Amini nawaambia ukweli, kila anachofanya amefeli/
Aliishi kwa tabu hana viatu, wala kandambili/
Jina halisi anaitwa pili, kwangu ameshakiri, natoboa hii siri/
Sisemi hana akili, msipagawe na huo mwili/
Uwezo mdogo wa kufikiri, single maza ana watoto wawili/
Lazima tukae tumjadili, watatu yupo njiani natabiri/
Haujui uzazi wa mpango, anafanya bila kiwango/
Tumsaidie mchango, arudi kwao tumkatie bus shekilango/
Kwao mbali huko kijijini, hana ndugu hapa mjini/
Ameharibu sana uswahilini, wasije mfunga kiroba mumuokote baharini/
Namsaidia wala simfitini, kwa pamoja tuwe makini/
Tumsaidie kupambana na life, nilipomshauri zaidi cute wife akanipiga knife/
Chorus: Maua Sama
........β¦..............................................................
Thanks kwa walioanzisha hii thread nimemchana Cute Wife, roho yangu imeridhika. Baada ya hapa nazika uadui na tofauti zetu rasmi. Sina tena hasira nae, [emoji120]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787] bonge la diss track
Inaweza kua ni ujinga Ila mpangilio wake ni wa kibabe (punchline) kikubwa mmalize Tu bifu lenu [emoji1787][emoji1787]Ko unamsifia ujinga?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwambie aje na mingine mikali zaidi ya hii nimpeleke studio π€£π€£π€£π€£Inaweza kua ni ujinga Ila mpangilio wake ni wa kibabe (punchline) kikubwa mmalize Tu bifu lenu [emoji1787][emoji1787]
Basi siingilii tena ugomvi wenu nimegundua mnapendana Sana na MPO hapa kutuzuga....Mwambie aje na mingine mikali zaidi ya hii nimpeleke studio [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bifu haliwezi kuisha mpk tudundane
Kuna sehemu nilikutag ukaone michano mingine aliyonichana uliiona?? ππππBasi siingilii tena ugomvi wenu nimegundua mnapendana Sana na MPO hapa kutuzuga....
Wapendanao wakipigana shika jembe ukalime [emoji2957][emoji1787]
Sijaiona hebu nitag tena nione kama ana ubora au hii aliandikiwa [emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji38]Kuna sehemu nilikutag ukaone michano mingine aliyonichana uliiona?? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijaiona hebu nitag tena nione kama ana ubora au hii aliandikiwa [emoji848][emoji1787][emoji1787][emoji38]
Flow za kishamba,Bora urudi shamba//Kuwapaka sihofii maana hii sasa ni complain/
Mikono yao haitulii kama wanapiga masturbation/
Wanasimamisha hii ile wameacha pembeni/
Na ukionyesha kuwatii ndio watakudai kama deni/
Ni mandata wa road/ wanaokagua engine na bodi/
Chombo kama inadaiwa kodi/ iwe Toyota au Ford/
Ajabu wanatafuta sababu wapate za ulabu na ukipanga tabu wanaandika kosa/
Kwako iwe adhabu na ukitaka jawabu ipi sababu ni majibu ya taarabu Khadija Kopa/
Mbona hukunitag [emoji848]Nakutag ss hivi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]